
ANTONIO RUDIGER ASANI MIAKA MINNE REAL MADRID
REAL Madrid imempa dili la miaka minne beki wa kazi akitokea Klabu ya Chelsea ambayo alikuwa akiitumikia. Ni Antonio Rudiger amejiunga bure na Mabingwa wa Ligi ya Ulaya ambao waliinyoosha kwa bao 1-0 Liverpool. Nyota huyo ni raia wa Ujerumani amemaliza mkataba wake ndani ya Stamford Bridge na hakuwa tayari kuweza kuongeza dili jipya zaidi…