
STARS YAWASILI BENINI,YABEBA MATUMAINI
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars jana jioni Alhamisi ya Juni 2 kilikwea pipa kuelekea nchini Benini kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa kuwania kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Niger unaotarajiwa kuchezwa kesho Juni 4. Leo Juni 3 tayari kimewasili salama Benin ambapo mchezo huo utachezwa. Benchi la ufundi…