Home Sports HUZUNI YANGA, WACHEZAJI 14 WAACHWA, MO DEWJI ATENGA MAMILIONI YA USAJILI SIMBA...

HUZUNI YANGA, WACHEZAJI 14 WAACHWA, MO DEWJI ATENGA MAMILIONI YA USAJILI SIMBA | KROSI DONGO

MASTAA 14 ndani ya kikosi cha Yanga, wapo kwenye hesabu za kufyekwa kwa ajili ya kukiboresha kikosi hicho kuelekea msimu ujao wa 2022/23.

Msemaji wa Yanga, Haji Manara, aliliambia Spoti Xtra kuwa, usajili wa msimu ujao utakuwa ni mkubwa na wenye kuzingatia ripoti ya benchi la ufundi.

“Tuna malengo makubwa na tunajua wapi ambapo tulishindwa msimu huu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, sasa tutasajili wachezaji wazuri na wenye uwezo mkubwa ili kuleta ushindani kimataifa,” alisema Manara.

Previous articleSIMBA YAFUNGUKIA KUHUSU KUMSAJILI SAIDO WA YANGA
Next articleMSHINDI WA MILIONI 20 NA MERIDIANBET ANENA MBINU YA USHINDI!