
AZAM WAREJEA BONGO NA LEO WANAANZA KAZI
BAADA ya kikosi cha Azam FC kurejea Agosti 8 kutoka Misri ambapo kilikuwa kimeweka kambi,leo Agosti 9 wachezaji wa timu hiyo wanatarajiwa kuendelea na mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2022/23. Azam FC ilikuwa ni timu ya pili kutoka Tanzania kuweka kambi nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2022/23….