
RASMI YANGA WAMTAKIA KILA LA KHERI BUMBULI
UONGOZI wa Yanga umemtakia kila la kheri Hassan Bumbuli ambaye alikuwa ni Ofisa Habari wa timu hiyo. Taarifa rasmi ambayo imetolewa na Yanga imeeleza kuwa mkataba wa Hassan Bumbuli umekwisha hivyo hataongezewa mkataba mwingine. Bumbuli alikuwa ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya kikosi cha Yanga ambacho kinanolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine…