
KILICHOWAMALIZA SIMBA, KILIWALIZA YANGA KIMATAIFA
KWENYE anga za kimataifa kilichowaua Simba ugenini kiliwamaliza Yanga pia ugenini kutokana aina ya mabao ya mapigo huru yaliyowapa tabu wawakilishi wa kimataifa. Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika walianza kuonja joto ya jiwe kwenye msako wa pointi tatu dhidi ya Horoya ya Guinea ilikuwa ni Februari 11. Wakati ubao wa Uwanja wa General Lansana…