



VIDEO; HIVI NDIVYO UZI MPYA WA SIMBA ULIVYOZINDULWA
UZINDUZI wa uzi mpya wa Simba wenye nembo ya Visit Tanzania amao utatumika kwenye mechi z kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya Makundi

YANGA KAMA WAFALME VILE, SAKHO AREJESHA SHANGWE SIMBA
YANGA kama wafalme vile, Sakho arejesha shangwe kambini Simba, hello Jumatano wewe ni Championi usikose nakala yako ipo mezani leo Februari 8,2023

ISHU YA UZINDUZI WA JEZI YA KIMATAIFA SIMBA WATAMBA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa uzi mpya ambao wameuzindua leo kwa ajili ya mechi za kimatifa ni bora na utaitangaza Tanzania kwenye anga la kimataifa. Mtendaji Mkuu wa Simba Iman Kajuna amesema kuwa wanatambua kuwa Tanzania kwenye sekta ya utalii inafanya vizuri hivyo kuongeza nguvu kwenye kuitangaza kutaifanya izidi kufanya vizuri zaizi na zaidi….

VIDEO”ALLY KAMWE AZUNGUMZIA ISHU YA MORISSON/YANGA HAWATISHIKI
ALLY Kamwe azungumzia ishu ya Morrison/Yanga hawatishiki

ORODHA YA MASTAA SIMBA WANAOMPA JEURI KOCHA KIMATAIFA
ORODHA ya mastaa Simba wanaompa jeuri kocha kimataifa

KIMATAIFA SHUGHULI NI KUBWA MIPANGO MUHIMU
KUTABIRIKA kwa matokeo hakuna kwenye ulimwengu wa soka kutokana na kila timu kujipanga kwa umakini kupata ushindi. Iwe ni nyumbani ama ugenini kwa sasa kila timu ina nafasi ya kupata matokeo hasa kwenye mechi za kimataifa ambazo ufuatiliaji wake huwa ni kwa ukaribu. Wale ambao hawajaanza maandalizi kwenye mechi za kimataifa kwa sasa kazi ni…

UWANJA AMBAO SIMBA ITAUTUMIA DHIDI YA HOROYA KIMATAIFA
UWANJA ambao Simba itautumia dhidi ya Horoya kimataifa

MSAFARA WA YANGA UTAKAOWAFUATA WAPINZANI WAO CAF
MSAFARA wa Yanga utakaowafuata wapinzani wao CAF


SENEGAL WALITWAA TAJI KWA KAZI KUBWA KWELIKWELI
FEBRUARI 4,2023 itabaki kwenye kumbukumbu za mastaa wa Senegal kutokana na kukutana na kisiki kizito kwenye mchezo wa fainali ya taji la Kombe la Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani, (CHAN). Kwenye fainali hiyo dhidi ya Algeria mashabiki walikuwa wanawazomea wachezaji wa Senegal mwanzo mwisho lakini haikuwa bahati kwao. Dakika zote 120 ziligota kwa timu…

MZAWA JOB AWEKA REKODI TAMU BONGO
MZAWA Dickosn Job anayekipiga ndani ya kikosi cha Yanga ameweka rekodi yake matata kwa kuwa mzawa pekee ambaye amefunga kwa timu za Kariakoo Februari ndani ya Uwanja wa Mkapa. Mechi za ufunguzi wa Februari, Simba na Yanga zote zimecheza Uwanja wa Mkapa na kusepa na ushindi ilianza Simba Februari 3 ubao uliposoma Simba 3-1 Singida…

MASTAA WATATU WAZUA HOFU SIMBA, WAARABU WAIBEBA YANGA CAF
MASTAA watatu wazua hofu Simba, Waarabu waibeba Yanga CAF ndani ya Spoti Xtra Jumanne

TITAN ROULETTE NDANI YA MERIDIANBET USHINDI MARA NYINGI ZAIDI
Kuwa Mshindi na Titan Roulette Leo nataka nikupe chimbo moja la kucheza na kushinda kwa urahisi, ni pale Meridianbet kasino ya mtandaoni kuna sloti moja inaitwa Titan Roulette ni bonge moja la mchezo, tena linakupa nafasi ya kushinda mpaka mara 36 ya dau lako uliloweka. Mchezo huu wa Titan Roulette ni sloti bomba yenye miondoko…

AZAM FC,YANGA, SIMBA KUPAMBANA NA HAWA FA
KAMATI ya Mashindano ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) ilitangaza ratiba ya hatua ya 16 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) maarufu kama FA. Simba ina kazi ya kusaka ushindi dhidi ya African Sports ya Tanga, Machi 2, Uwanja wa Mkapa, Yanga dhidi ya Tanzania Prisons Machi 3 Uwanja wa Mkapa. Geita…

MAYELE ANATOA SOMO LA BURE KWA WENGINE
FISTON Mayele ni mshambuliaji ambaye sio mwepesi kukata tamaa akiwa uwanjani, akikutana na makipa wenye mbwembwe huwa anawatazama kisha akishagundua tabia yao hapo anaongeza presha kwenye namna ya uokoaji na kutoa pasi. Amekuwa bora kwa misimu miwili mfululizo na kwenye mechi zote ambazo amecheza hajui ladha ya kuonyeshwa kadi ya njano ikiwa inamaanisha ana nidhamu…