


TUTAWASHANGAZA, MANULA AIBUKA SHUJAA LICHA YA KUPOTEZA
TUTAWASHANGAZA, Manula aibuka shujaa licha ya kupoteza kimataifa ndani ya Spoti Xtra Jumapili

SIMBA YATUNGULIWA UGENINI CAF
SAMBALOKETO anga za kimataifa kwa Simba limekwama baada ya kuhushudia wakiyeyusha pointi tatu ugenini. Dakika 90 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi ubao umesoma Horoya 1-0 Simba. Bao la ushindi kwa Horoya limepachikwa dakika ya 18 na Pape Ndiaye aliyetumia makosa ya mabeki kushindwa kwenda naye sawa wakati wa pigo la…

YANGA KAMILI KUIKABILI US MONASTIR
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wanatambua uimara wa wapinzani wao US Monasti hivyo wanajipanga kusaka ushindi. Kesho Yanga itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ukiwa ni mchezo wa kwanza kwenye makundi. Nabi ameweka wazi kuwa anawatambua wapinzani wao ni moja ya…

HOROYA 1-0 SIMBA CAF KIMATAIFA
DAKIKA 45 za mwanzo zimemeguka kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi Horoya 1-0 Simba bao ambalo limepachikwa ndani ya dakika 30 za kipindi cha mwanzo. Ni Pape Nd’iaye mwamba mmoja kaenda hewani akiwa huru na kumtungua kipa Aishi Manula. Kazi ni nzito kwa Simba kwa kuwa hakuna shambulizi kali ambalo wamelifanya…

JESHI LA SIMBA DHIDI YA HOROYA CAF
HIKI hapa kikosi cha Simba kitakachoanza dhidi ya Horoya Ligi ya Mabingwa Afrika namna hii:- AISHI Manula Shomary Kapombe Henock Inonga Joash Onyango Mohamed Hussein Sawadogo Kanoute Mzamiru Pape Sakho Jean Baleke Clatous Chama Tags # kitaifa

TUMCHANGIE MDAMU ANAHITAJI MSAADA FAMILIA YA MICHEZO
GERALD Mdamu aliyekuwa nyota wa kikosi cha Polisi Tanzania kwa sasa bado anaendelea kupambana kurejea kwenye ubora baada ya kuumia mguu walipopata ajali ya gari wakitokea mazoezini. Ilikuwa ni Julai 9,2021 ulimwengu wa mpira ulipatwa ganzi baada ya taarifa ya ajali hiyo ya gari kutokea na mchezaji ambaye alipata maumivu makubwa kuwa Mdamu. Reagan Senya…

WAZEE WA MPAPASO KUENDELEZA VIPIGO
WAZEE wa mpapaso, Ruvu Shooting wametamba kuwa kwa sasa ni mwendo wa vipigo kwa kila watakayekutana naye. Timu hiyo mchezo wake uliopita ikiwa Uwanja wa Jamhuri Morogoro ilishinda mabao 2-1 dhidi ya KMC. Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa hakuna atakayeweza kuwazuia kwa sasa kwenye mwendelezo huo baada ya kuwa kwenye mwendo…

MNYAMA ATAMBA KUMJUA NJE NDANI HOROYA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa unawatambua kwa umakini wapinzani wao Horoya kutokana na kuwasoma kwa muda kwenye mechi zao pamoja na mbinu ambazo wanacheza. Simba leo Februari 11 ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa hatua ya makundi ikiwa kundi C na timu nyingine ni Vipers ya Uganda na Raja Casablanca ya Morocco….


MADRID NA KISHINDO FAINALI KOMBE LA DUNIA
HALI ya hewa hapa ni baridi kali lakini haizuii joto la mechi ya fainali ya Kombe la Dunia la Klabu kuwa juu. Licha ya kwamba hakuna timu ya Morocco baada ya Wydad ambao ni mabingwa wa Afrika kutolewa mapema, bado hamu kubwa ya mashabiki ni kuiona Real Madrid. Madrid watacheza fainali hiyo leo Jumamosi kwenye…

MBRAZIL SIMBA AGOMEA KUPAKI BASI, YANGA YAVAMIA UWANJA
MBRAZIL Simba SC:Hatupaki basi, Yanga yavamia uwanja wa Waarabu usiku ndani ya Championi Jumamosi

SIMBA TAYARI KUIKABILI HOROYA KIMATAIFA
JUMA Mgunda,kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa maandalizi yote kuhusu mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya ya Guinea yamekamilika. Leo wawakilishi hao wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wanakibarua cha kusaka pointi tatu ugenini mchezo wa hatua ya makundi ambao ni wa kwanza kila timu. Mgunda ameweka wazi kuwa wanatambua ushindani…

KIMATAIFA INAWEZEKANA KAZI KUBWA IFANYIKE
HAKIKA kwa sasa mambo yamezidi kupamba moto kwenye anga za kimataifa ambapo leo Simba wana kazi yakufanya kwenye anga za kimataifa Simba ambao ni wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kazi yao ni kwenye mchezo wa makundi ikiwa ni dhidi ya HoroyaAC hautakuwa mchezo mwepesi wala mgumu muhimu maandalizi mazuri. Kwa wachezaji kazi…

MECHI ZOTE KALI ZA WIKIENDI HII EPL, SERIE A, LA LIGA, BUNDASLIGA NA LIGUE 1
Suala la kutoa ODDS kubwa sio kitu cha mawazo pale Meridianbet, kuthibitisha hilo tengeneza mkeka wako wa mechi zote kali za wikiendi hii ujizolee ODDS kibao za ushindi, ni EPL, Serie A, La Liga, Bundasliga na Ligue 1 huku fainali ya Kombe la dunia la vilabu ikipigwa ni Madrid vs Al Hilal. Meridianbet wanatoa ODDS…

AZAM FC YAANZA MATIZI KUMVUTIA KASI MNYAMA
KIKOSI cha Azam FC kimeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara. Timu hiyo imetoka kupoteza mchezo wake uliopita kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma ukisoma Dodoma Jiji 2-1 Azam FC. Februari 21,2023 saa 1:00 usiku Azam FC itakuwa kwenye kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Simba. Katika mchezo…

KIMATAIFA NI MUDA WAKUONYESHA KAZI KWA VITENDO
KILE kipengele cha kutamba kuwa ni mkubwa kwa watani za jadi sasa kinapaswa kuonyeshwa kwa vitendo kutokana na mashindani ya kimataifa ambayo yapo mbele yao. Simba wao wapo ndani ya Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi na wanatarajiwa kumenyana na Horoya Februari 11 ugenini na Yanga wao Februari 12 wana kete yao kwenye Kombe la…