
SIMBA NDANI YA ARDHI YA TANZANIA
MSAFARA wa Simba umewasili salama Dar ukitokea nchini Guinea ulipokuwa kwa ajili ya kazi ya kuiwakilisha nchi kimataifa. Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kikosi hicho kilipoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Horoya kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi na kuyeyusha pointi tatu. Kazi kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wao ujao ambao…