
WIKIENDI YA KUTAMBA NA ODDS KUBWA ZA MERIDIANBET… ARSENAL, MAN UNITED KUKIWASHA
Wikiendi hii Meridianbet wanakupa fursa ya kutamba baada ya kukuwekea odds kubwa katika michezo mbalimbali ambayo itakwenda kupigwa wikiendi hii . Mabingwa wa michezo ya kubashiri wamemwaga odds za kutosha ni wewe tu ushindwe kutamba. Mechi za Jumamosi 18 Febuari Klabu ya Arsenal ambayo imetoka kupoteza dhidi ya Man City katikati ya wiki itakwenda kwenye…