
AZAM FC NA MWENDO WAO ULEULE
MSIMU huu pia haujawa mzuri kwa Azam FC ambayo kila wakati huwa inaanza kwa kuleta ushindani mkubwa. Mateso makubwa ambayo huwa wanapitia kwenye mechi za ugenini bado hawajapata majibu yake hivyo wana kazi ya kuboresha zaidi ili wakati ujao kuwa imara. Miongoni mwa sababu ambazo zimekuwa zikiwapa ugumu Azam FC ni pamoja na kushindwa kutumia…