
SIMBA WAIPIGIA HESAU ROBO FAINALI
BEKI mwenye uwezo wa kupandisha na kulinda lango la Simba, Shomari Kapombe ameweka wazi kuwa watapambana kufikia malengo ya kutinga hatua ya robo fainali. Simba ikiwa imecheza mechi nne za hatua ya makundi, Kapombe ameanza zote kikosi cha kwanza huku akishuhudia timu hiyo ikifungwa mabao manne na wao wakifunga mabao mawili. Mchezo wao dhidi ya…