
MAYELE AITIKISA KAMBI YA US MONASTRI,SIMBA JEURI
Mayele atikisa kambi ya US Monastir, Hat trick ya Baleke yaipa jeuri Simba ndani ya Championi Jumatatu
Mayele atikisa kambi ya US Monastir, Hat trick ya Baleke yaipa jeuri Simba ndani ya Championi Jumatatu
Ofa za Meridianbet zipo zinaendelea kumiminika kila siku, na hii ni yako kwa mtaji wa 5,000/= Tsh unaweza kujiweka kwenye nafasi ya kushinda mgao wa Milioni 3 za kitanzania. Nafasi ni yako ya kujishindia mgao wako wa bonasi ya TZS 3,000,000 kutoka hapa nyumba ya Odds kubwa na kasino ya mtandaoni yenye sloti rahisi kushinda…
YANGA imeibuka na ushindi kwenye mchezo wake wa ligi dhidi ya Geita Gold ikiwa ni mzunguko wa pili. Ubao wa Uwanja wa Azam Complex umesoma Yanga 3-1 Geita Gold. Ni Geita Gold wao walianza kupachika bao la kuongoza mapema kipindi cha kwanza dakika ya 19 kupitia kwa Elias Maguli ambalo lilidumu mpaka muda wa mapumziko….
MTIBWA Sugar kwa msimu wa 2022/23 imekwama kusepa na ushindi dhidi ya Simba kwenye mechi ambazo wamekutana ndani ya ligi. Katika mzunguko wa kwanza walipokutana Uwanja wa Mkapa, timu hiyo ilpoteza mchezo huo. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 5-0 Mtibwa Sugar. Hivyo mzunguko wa kwanza waliacha pointi tatu Uwanja…
WAKIWA Uwanja wa Old Trafford wamegawana pointi mojamoja na timu inayoshikilia mkia. Ubao umesoma Manchester United 0-0 Southampton kwenye msako wa pointi tatu. United waliyeyusha dakika 90 wakiwa pungufu baada ya nyota wao Casemiro kuonyeshwa kadi nyekundu dakika ya 34. Sasa United inafikisha pointi 50 nafasi ya tatu huku Southampton ikiwa nafasi ya 20 na…
UBAO wa Uwanja wa Azam Complex unasoma Yanga 0-1 Geita Gold ikiwa ni dakika 45 za mwanzo. Bao pekee la uongozi kwa Geita Gold limefungwa na Elias Maguli ambaye ametumia makosa ya safu ya ulinzi ya Yanga. Ni dakika ya 19 Maguli amemtungua kipa namba moja wa Yanga Djigui Diarra. Moja ya mchezo wenye ushindani…
KIKOSI cha Yanga kinachotarajiwa kuanza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold, Uwanja wa Azam Complex kipo namna hii:- Diarra Djigui Djuma Shaban Joyce Lomalisa Dickson Job Bacca Aucho Mudhathir Sure Boy Kennedy Musonda Clement Mzize Farid Mussa Akiba Metacha Kibwana Doumbia Bangala Mauya Aziz KI Ambundo Moloko Ngushi
KOCHA wa Ihefu Temy Felix amesema kuwa wanatambua mchezo wa kesho dhidi ya Azam FC utakuwa mgumu lakini wanahitaji matokeo mazuri. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Azam Complex ubao ulisoma Azam FC 1-0 Ihefu na kuwafanya wayeyushe pointi tatu. “Mchezo muhimu kwetu na tunatambua utakuwa na upinzani mkubwa mashabiki wajitokeze kwa…
NYOMI la mashabiki wa Yanga makao makuu noma sana
BALEKE mnyama mkali, Yanga SC wana kisasi na Waarabu ndani ya Spoti Xtra Jumapili
MAAJABU ya mpira kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika yameendelea ikiwa ni hatua ya makundi. Ni Marcelo Allende alipachika bao la mapema dakika ya 4, ngoma nyingine ilijazwa kimiani na Themba Zwane dakika ya 24, Teboho Mokoena alipachika dakika ya 40 kwenye mchezo dhidi ya Al Ahly. Ni Peter Shalulile alijaza kimiani mara mbili dakika ya…
IKIWA kasi ya Simba itaendelea kwa namna hii mpaka kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa angalau ule ubora wa Simba kwenye anga za kimataifa utarejea. Ubao wa Uwanja wa Manungu umesoma Mtibwa Sugar 0-3 Simba na kaz yote ilimalizwa kipindi cha kwanza kwa mabao ya Jean Baleke. Mshambuliaji Moses Phiri licha ya kutofunga ametengeneza nafasi…
FISTON Mayele mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Geita Gold. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku. Ngoma inatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na timu zote kusaka pointi tatu. Mayele amesema:”Ni mchezo muhimu kwetu na tunahitaji kupata pointi tatu mashabiki wawe…
DAKIKA 45 za mwanzo zimekamilika Uwanja wa Manungu kwa timu zote kuvuja jasho kusaka mabao ya kuongoza. Mtibwa Sugar 0-3 Simba unasoma ubao wa Uwanja wa Manungu kwa sasa huku mashabiki wakiwa wamejitokeza kwa wingi. Ni Jean Baleke mshambuliaji wa Simba katupia mabao yote matatu hivyo anajihakikishia nafasi ya kusepa na mpira wake. Huu ni…
KIKOSI cha Azam FC kinatarajiwa kumenyana na Ihefu kwenye mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara. Azam FC chini ya Kocha Mkuu, Kali Ongala tayari wameanza maandalizi kwa ajili ya mchezo huo. Miongoni mwa wachezaji ambao wameanza maandalizi ni pamoja na Idris Mbombo, Prince Dube, Ayoub Lyanga. Ongala amesema wapo tayari kwa ajili ya mchezo…
KIKOSI cha Simba dhidi ya Mtibwa Sugar mchezo wa Ligi Kuu Bara, Uwanja wa Manungu, Morogoro Aishi Manula Shomari Kapombe Mohamed Hussein Joash Onyango Henock Inonga Sadio Kanoute Clatous Chama Mzamiru Jean Baleke Moses Phiri Saidi Ntibanzokiza
KUELEKEA mchezo wa kesho Machi 12 wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Geita Gold kuna mastaa watakosekana kikosi cha kwanza kutokana na sababu mbalimbali