Home International MANCHESTER UNITED YAGAWANA POINTI

MANCHESTER UNITED YAGAWANA POINTI

WAKIWA Uwanja wa Old Trafford wamegawana pointi mojamoja na timu inayoshikilia mkia.

Ubao umesoma Manchester United 0-0 Southampton kwenye msako wa pointi tatu.

United waliyeyusha dakika 90 wakiwa pungufu baada ya nyota wao Casemiro kuonyeshwa kadi nyekundu dakika ya 34.

Sasa United inafikisha pointi 50 nafasi ya tatu huku Southampton ikiwa nafasi ya 20 na pointi 22.

Previous articleYANGA 0-1 GEITA GOLD
Next articleMTIBWA YAKWAMA KWA SIMBA