Home Sports YANGA 0-1 GEITA GOLD

YANGA 0-1 GEITA GOLD

UBAO wa Uwanja wa Azam Complex unasoma Yanga 0-1 Geita Gold ikiwa ni dakika 45 za mwanzo.

Bao pekee la uongozi kwa Geita Gold limefungwa na Elias Maguli ambaye ametumia makosa ya safu ya ulinzi ya Yanga.

Ni dakika ya 19 Maguli amemtungua kipa namba moja wa Yanga Djigui Diarra.

Moja ya mchezo wenye ushindani mkubwa huku Yanga wakipeleka mashambulizi kwa kuwatumia washambuliaji wawili ambao ni Mzize na Musonda.

Previous articleHIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA GEITA GOLD
Next articleMANCHESTER UNITED YAGAWANA POINTI