Home International ARSENAL YATEMBEZA 4G

ARSENAL YATEMBEZA 4G

ARSENAL haina utani baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu England.

Ni Gabrie Martinell dakika ya 28,Bukayo Saka alitupia kambani mawili dakika ya 43 na 74 na ile kamba ya nne ni mali ya Graniti Xhaka ilikuwa dakika ya 55.

Bao pekee la wapinzani wao Uwanja wa Emirates limepachikwa na Jeffrey Schlupp dakika ya 63.

Sasa Arsenal inaendelea kuwa namba moja ikiwa na pointi 69 imecheza mechi 28.

Previous articleYANGA V US MONASTIR LEO WAKUBWA KAZINI
Next articleYANGA 1-0 US MONASTIR