
REAL BAMAKO 0-0 YANGA KIMATAIFA
UBAO wa Stade du 26 Mars, Mali kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika unasoma Real Bamako 0-0 Yanga. Ni mchezo wa hatua ya makundi ambapo timu zote mbili zipo kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Wawakilishi kutoka Tanzania kwenye anga la kimataifa wameanza na washambuliaji wawili ambao ni Fiston Mayele na Kennedy Musonda. Kiungo…