Home International KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA VIPERS YA UGANDA

KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA VIPERS YA UGANDA

SIMBA leo ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Vipers ya Uganda mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kikosi cha Simba ambacho kitaanza leo kipo namna hii:-Aishi Manula ameanza langoni, Shomari Kapombe, Henock Inonga, Joash Onyango na Mohamed Hussein katika ukuta.

Mzamiru Yassin na Sadio Kanoute katika viungo wakabaji na Kibu Dennis, Ntibanzokiza na Clatous Chama katika viungo washambuliaji.

Moses Phiri huyu ni kwa ushambuliaji dhidi ya Vipers ya Uganda mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Previous articleYANGA KAZINI KESHO KIMATAIFA
Next articleHUYU HAPA MFUNGAJI WA BAO LA SIMBA KIMATAIFA