
ISHU YA FEISAL TFF HUKUMU IMEGOTEA HAPA
KAMATI ya Sheria na Hadhi za Wachezaji la Shirikisho la MPIRA wa Miguu Tanzania,(TFF) limetupilia mbali maombi ya Feisal Salum kuhusu kesi yake na Yanga. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa TFF, Clifford Ndimbo imeeleza kuwa Mei 4,2023 pamoja na mambo mengine lilisikiliza shauri la mchezàji Feisal Salum aliyewasilisha malalamiko akitaka kuvunja…