
WENGINE KUUZWA SIMBA BAADA YA SAKHO
BAADA ya kumuuza Pape Sakho Simba wamesema kuwa mchezaji yoyote yule watamuuza ikiwa watapata ofa nzuri. Julai 24 timu hiyo ambayo imeweka kambi Uturuki ilicheza mchezo wa kwanza wa kirafiki dhidi ya Zira. Katika mchezo huo walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1 ikiwa ni maandalizi ya msimu wa 2023/24. Miongoni mwa wachezaji waliopo Uturuki ni…