
MWENDO WAO KIMATAIFA HALI NI MBAYA KWA WAWAKILISHI WETU
WIKI chache nyuma lilikuwa ni gumzo la kuanza kwa Ligi ya Mabingwa Afrika katika hatua ya makundi na Tanzania ilikuwa kati ya nchi chache kabvisa zenye timu mbili katika hatua hiyo. Simba na Yanga wote walipata nafasi ya kuingia kwenye hatua hiyo ya makundi, hatua ambayo sote tunafahamu timu bora tu ndizo hufanikiwa kufika hapo….