
SIMBA: KIMATAIFA TUTAWAFURAHISHA
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa watawafurahisha mashabiki watakaojitokeza kushuhudia mchezo wao dhidi ya ASEC Mimosas pamoja na wale watakaokuwa nyumbani. Ipo wazi kwamba Novemba 25 Simba itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya ASEC Mimosas ya Ivory Coast mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Ally…