Home Sports AMEIGOMEA SIMBA KIUNGO HUYU WA KAZI

AMEIGOMEA SIMBA KIUNGO HUYU WA KAZI

IMEELEZWA kuwa kiungo wa Simba Nassoro Kapama amewagomea mabosi wa Simba kwenye ishu yake ya mkataba ambapo nyota huyo anatakiwa na Mtibwa Sugar kwa ajili ya kuwa hapo kwa mkopo.

Previous articleWIKENDI YA MAOKOTO IMEFIKA, EPL, LA LIGA NA BUNDESLIGA KITAWAKA
Next articleMWAMBA ALIYETAKIWA YANGA KAMWAGA WINO HUKU