>

WIKENDI YA MAOKOTO IMEFIKA, EPL, LA LIGA NA BUNDESLIGA KITAWAKA

Meridianbet ndio Kampuni ya kubashiri yenye kutoa ODDDS KUBWA na machaguo mengi zaidi ya 1000, yani unaweza kuchagua utabashiri nini ukiachana na ushindi wa kawaida, kuna kona, penati, timu zote kufungana na magoli kuanzia 3 na kuendelea.

Ligi kuu ya Hispania LALIGA itaendelea wikendi hii kwa mechi nyingi tuu ambapo Rayo Vallecano anatarajiwa kuwa mwenyeji wa UD Las Palmas huku timu zote zikihitaji ushindi wa maana ndipo mechi hii ikapewa ODDS 1.88 kwa 4.31. Mwenyeji alipoteza mchezo uliopita huku mgeni akishinda. Suka mkeka wako hapa.

Villarreal watawakaribisha Mallorca huku timu hizi zikiwa na pointi sawa 19 baada ya kucheza michezo yao 20 hadi sasa. Mwenyeji amepoteza mchezo uliopita, na mgeni alitoa sare, huku meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 2.06 kwa 3.52. Ingia meridianbet na ubeti.

Pia Valencia wataumana dhidi ya Athletic Bilbao ambaye amekuwa na mwennendo mzuri kwenye ligi kwani anashikilia nafasi ya 3 kwenye msimamo hadi sasa na mwenyeji wake yupo nafasi ya 8. Mechi ya mkondo wa kwanza kukutana walitoka sare. Je nani kushinda kesho?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri hapa.

Ni rahisi sana kwako kutengeneza pesa ya haraka kama utacheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo ipo meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Sloti na mingine mingi. Ingia meridianbet na uanze kucheza sasa.

Ndani ya EPL kutakuwa na mbungi kali kabisa mapema tuu saa 9:30 mchana kati ya  Arsenal dhidi ya Crystal Palace huku nafasi ya kushinda mchezo huo akipewa The Gunners kwa ODDS 1.25 kwa 10.78. Mara ya mwisho kukutana, Arteta na vijana wake walishinda. Je mgeni kulipa kisasi kesho?. Beti sasa

Huku mechi ya pili hapo kesho ni hapo itakapofika majira ya saa 2:30 kati ya Brentford dhidi ya Nottingham Forest, huku timu hizo zikitofautiana pointi moja pekee. Nyuki kushinda mechi hiyo wamepewa ODDS 1.89 kwa 3.87, pia Ivan Toney anatarajiwa kurejea kwenye mchezo wa kesho baada ya adhabu yake ya kufungiwa miezi 8 kuisha. Nani kuondoka na ushindi?. Jisajili na ubeti hapa.

Vilevile ligi ya BUNDESLIGA itarindima kwa namna yake timu kuchuana vikali, tukianza na mechi kati ya FC Cologne dhidi ya Borussia Dortmund ambaye alishinda mechi iliyopita. Mara ya mwisho kukutana Borussia aliondoka na ushindi mwembamba. 1.67 ndio ODDS waliyopewa vijana wa Edin Terzic kwa 4.50. Wewe beti yako unaiweka wapi?

Mechi nyingine ya kuvutia ni hapa inayowakutanisha Bochum dhidi ya VFB Stuttgart ambao msimu huu wanafanya vizuri wakiwa nafasi ya 3 hadi sasa huku mwenyeji wake yeye yupo nafasi ya 14. Kushinda mechi hii VFB wamepewa ODDS 1.91 kwa 3.62. Je mwenyeji atalipa kisasi baada ya mechi ya kwanza kubamizwa?. Tengeneza jamvi mapema hapa.

Pia SC Freiburg atamualika TSG Hoffenheim na timu hizo tofauti kati yao ni pointi 1 pekee, kwani wamefuata kwenye msimamo wa ligi hiyo mwenyeji akipewa ODDS 2.01 kwa 3.33. Beti sasa.

Saa 2:30 katika dimbva la Red Bull Arena kutakuwa na mechi ya moto, yani mechi ya viwango haswa ambapo RB Leipzig atamleta nyumbani kwake kinara wa ligi hiyo Bayer Leverkusen. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mechi hii RB kwa ODDS 2.40 kwa 2.65. Je vijana wa Alonso watakubali kupoteza mchezo huo kesho?. Na je vipi Leizpig watakuwabli kipigo cha pili kutoka kwa Leverkusen?. Bahiri na meridianbet upige maokoto.

 

SERIE A, kama kawaida utamu utaendelea AS Roma atakipiga dhidi ya Hellas Verona ambaye yupo kwenye hali mbaya kwenye msimamo wa ligi. Lakini timu hiyo ya Rome wanatarajia kuingia uwanjani baada ya kumtimua kocha wao Jose Mourinho. Verona kushinda mechi hii amepewa ODDS 7.64 kwa 1.44. Beti sasa.

Italia kutahitimishwa na mechi kati ya wenyeji Udinese dhidi ya AC Milan ambao walitoka kutoa kichapo mchezo wao uliopita. Milan chini ya Stephano Pioli kushinda mechi hii wamepewa ODDS 1.94 kwa 3.92. Je nani ni nani hapo kesho?.