
MASTAA SIMBA WAPEWA KAZI KUBWA KIMATAIFA
KUELEKEA kwenye mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas nyota wa Simba wamepewa zigo zito kuhakikisha wanapata matokeo chanya kwenye mchezo huo. Ipo wazi kuwa katika mechi mbili zilizopita za ligi wachezaji wa Simba walipata matokeo yenye maumivu. Katika mchezo wa Kariakoo Dabi Novemba 5 ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga…