
ANA NDOTO ZA KUREJEA UWANJANI MDAMU, ANAHITAJI MSAADA
NYOTA Gerald Mdamu aliyewahi kukipiga ndani ya Polisi Tanzania bado anapambania hali yake ili kurejea kwenye ubora wake mdogomdogo baada ya kuumia mguu walipopata ajali ya gari wakitokea mazoezini. Julai 9 2021 ilikuwa ni ganzi ya maumivu kwenye ulimwengu wa mpira baada ya ajali hiyo kutokea na mchezaji aliyeumia zaidi kuliko wote alikuwa ni Mdamu….