
SERIKALI YAIPONGEZA SIMBA KWA KUFUATA MAELEKEZO
“Tunawapongeza Simba kwa kufuata malekezo ambayo ilipewa kufanyia kazi katika mapendekezo ya marekenisho ya katiba. Hili ni jambo la mfano kwa timu zingine. Serikali inawapongeza na inawatakia kila la kheri.”- Nicolas Mihayo akimwakilisha Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo nchini (BMT).