
YANGA NDANI YA DAR KUWAKABILI KAGERA SUGAR
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga baada ya kukomba pointi tatu dhidi ya Mashujaa wamerejea Dar kwa maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar. Timu hiyo imekuwa kwenye mwendo mzuri ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 kutokana na kupata matokeo chanya kwenye mechi ambazo wanacheza uwanjani….