
AZAM FC WANA BALAA HAO, SIMBA TATIZO
WAKATI ikiwa ni saa kadhaa zinahesabika kufika mchezo wa Mzizima Dabi, Uwanja w Mkapa, rekodi zinaonyesha kuwa Azam FC wana balaa kwenye eneo la ushambuliaji kutokana na kasi yao kuwa hivyo. Msimu wa 2023/24 haujawa bora kwa Simba katika eneo la ushambuliaji kutokana na aina ya washambuliaji waliopo kukosa nafasi wanazozipata kwenye mechi zao. Kinara…