Home Sports UEFA MAMBO NI MOTO SANA

UEFA MAMBO NI MOTO SANA

Meridianbet wanakwambia hivi, siku ya leo na kesho unaweza kupasua anga kwa kusuka jamvi lako ukiwa na akaunti yako ya Meridianbet kwani huku ndiko kuna mechi za kibabe na machaguo zaidi ya 1000.

Kivumbi leo hii kitaanzia pale Parc des Princes ambapo PSG baada ya kupoteza mchezo wa kwanza wa hatua ya Nusu Fainali wa Ligi ya mabingwa Ulaya, leo hii atakuwa nyumbani kusaka ushindi wa kuanzia goli mbili afuzu fainali dhidi ya Borussia Dortmund.

PSG na Dortmund walikuwa kwenye kundi moja la Ligi ya mabingwa ambalo lilikuwa ni kundi F ambapo mechi ya kwanza vijana wa Luis Enrique walishinda wakiwa nyumbani mechi ya kwanza huku mechi ya pili walipokwenda Signal Iduna Park walitoa sare.

Lakini sasa hii ni mechi yao ya kulipa kisasi ambapo wanataka ushindi kwa hali na mali dhidi ya vijana wa Terzic ili wasonge mbele na kucheza Fainali yao ya pili kwenye ligi ya mabingwa. Meridianbet wamempa Paris nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi kwa ODDS ya 1.47 kwa 6.07. Bashiri hapa.

Ukiachana na mechi hizo ndugu mteja kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Pia hapo kesho mechi nyingine ya nusu fainali ya UEFA itapigwa ambapo Real Madrid baada za kutawazwa kuwa mabingwa wa Hispania sasa nguvu zao wameelekeza kwenye Kombe hili ambalo wanataka kulichukua kwa mara ya 15 endapo watampiga Bayern Munchen kesho.

Mechi ya mwisho Bayern kuingia fainali na kuchukua UEFA ilikuwa 2019 huku kwa upande wa vijana wa Carlo Ancelloti ilikuwa ni mwaka 2022. Je hapo kesho nani kuibuka na ushindi pale Bernabeu ambapo mara ya mwisho walipokutana walito sare?.

Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya ushindi Real kwa ODDS ya 1.88 kwa 3.67. Wewe Beti yako unaiweka wapi kwenye hizi timu?. Je ni Harry Kane au Jude Bellingham kucheza fainali ya UEFA?

Previous articleCOASTAL UNION YATOSHANA NGUVU NA PRISONS
Next articleMgao wa Expanse Tournament Kasino Umeongezwa Meridianbet.