Home Sports SIMBA 2-0 TABORA UNITED

SIMBA 2-0 TABORA UNITED

FT: LIGI Kuu Bara

Mzunguko wa pili

Simba 2-0 Tabora United

Sadio Kanoute goal dakika ya 19

Edwin Balua goal dakika ya77.

Simba ipo Uwanja wa Azam Complex Dar kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Tabora United ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili.

Ayoub Lakred ameanza langoni ikiwa ni mchezo wake wa tatu mfululizo chini ya Kocha Mkuu, Juma Mgunda.

Katika dakika 45 za mwanzo Simba imecheza jumla ya faulo tano huku mwamba Israel Mwenda akicheza faulo mbili kwenye mchezo huo.

Tabora United nao pia wapo kwenye msako wa pointi tatu kwa kuwa mzunguko wa pili ni muda wakufunga hesabu.

Previous articleMTIBWA SUGAR 0-2 AZAM FC
Next articleMASIKINI MAN UTD IMEJICHOKEA, YAPIGIKA MAGOLI 4-0