>

MAAGIZO HAYA YAMETOLEWA NA MASTA GAMONDI

WAKIWA kwenye maandalizi ya mwisho kuwakabili wapinzani wao Medeama FC ya Ghana, Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ametoa maagizo mazito kwa wachezaji wake wote kuanzia kwenye safu ya ushambuliaji na ulinzi. Ipo wazi kuwa baada ya kucheza mechi tatu katika hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, safu ya ushambuliaji ya Yanga ilitupia mabao…

Read More

FT: Machester United 0-3 Bournemouth

Baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Chelsea Manchester United imeshindwa kuendeleza mwenendo mzuri na kukubali kichapo cha 3-0 nyumbani dhidi ya Bournemouth. FT: Machester United 0-3 Bournemouth ⚽️ 5’ Solanke ⚽️ 68’ Billing ⚽️ 73’ Senesi #FULLTIME Brighton 1-1Burnley Sheffield United1-0 Brentford Wolves 1-1Nottingham Forest Crystal Palace 1-2 Liverpool

Read More

UWANJA WA LITI WAFUNGIKWA

KAMATI ya Leseni za Klabu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeufungia Uwanja wa Liti, uliopo Singida. Uwanja huo ambao unatumiwa na Singida Fountain Gate kwa mechi za nyumbani kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Bara sasa hautatumika kwa michezo ya ligi kwa kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa…

Read More

PANGA LINAPITA NDANI YA SIMBA BOSI AMESEMA

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salum Abdallah ‘Try Again’ amewapa mwezi mmoja na nusu mastaa wao kutumia kipindi hicho kujihakikishia nafasi ya kubaki kikosini. Simbahaijawa kwenye mwendo mzuri mwanzo wa msimu wa 2023/24 kutokana na kukwama kufikia malengo yao ambayo walijiwekea ikiwa ni pamoja na mashindano ya African Football League. Mashindano hayo mapya…

Read More

Sloti Ya Wild 27 Kasino Ya Mtandaoni

CHEZA HAPA Alama za Ushindi sloti ya Wild 27   Tunapozungumzia alama za mchezo huu wa sloti, thamani ya chini zaidi inatolewa na miti minne ya matunda. Ambayo ni: Limau Chungwa Cheri Zabibu   Ikiwa utaziunganisha alama hizi tatu kwenye mchanganyiko wa ushindi, utashinda mara mbili ya dau lako.   Alama za nyota kijani na zambarau ndizo alama zinazofuata…

Read More

JESHI LA SIMBA DHIDI YA YANGA HILI HAPA

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba ameanza na jeshi hili dhidi ya watani zao wa jadi Yanga. Novemba 5 2023 itakuwa ni rekodi kwa wababe hawa wawili kusaka pointi tatu baada ya dakika 90 kukamilika. Hiki hapa kikosi cha Simba kipo namna hii:- Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohamed Hussein, Henock Inonga, Che Malone, Fabrice Ngoma,…

Read More

JESHI LA YANGA DHIDI YA SIMBA LIPO HIVI

KARIAKOO Dabi presha yake ipo juu kwa sasa huku kila timu ikiwa na hesabu za kukomba pointi tatu. Miguel Gamond, Kocha Mkuu wa Yanga jeshi lake ambalo amelipa kuanza dhidi ya watani zao wa jadi Simba lipo namna hii:- Djigui Diarra Yao Attouhula Joyce Lomalisa Bacca Khalid Aucho Maxi Nzengeli Mudhathir Yahya Kennedy Musonda Aziz…

Read More

JUMAPILI HII MIKWANJA UPO KAMA KAWA KWA MECHI ZA ULAYA

Najua unajua lakini nakujuza tena  sehemu pekee ambayo unaweza kuchukua maokoto yako kirahisi ni Meridianbet ambapo wameweka ODDS KUBWA katika michezo ambayo itapigwa jumapili ili kukuwezesha kupiga mkwanja wa kutosha. Unachotakiwa kufanya ni kutembelea tovuti ya Meridianbet na kuchagua timu zako Jumapili ya leo na kuweka dau lako ambalo linaanzia shilingi 100 na zaidi ili uweze kujipigia…

Read More