Home Uncategorized JESHI LA SIMBA DHIDI YA YANGA HILI HAPA

JESHI LA SIMBA DHIDI YA YANGA HILI HAPA

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba ameanza na jeshi hili dhidi ya watani zao wa jadi Yanga.

Novemba 5 2023 itakuwa ni rekodi kwa wababe hawa wawili kusaka pointi tatu baada ya dakika 90 kukamilika.

Hiki hapa kikosi cha Simba kipo namna hii:-

Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohamed Hussein, Henock Inonga, Che Malone, Fabrice Ngoma, Kibu Dennis,Sadio Kanoute,Jean Baleke,Saido Ntibanzokiza, Clatous Chama

Previous articleJESHI LA YANGA DHIDI YA SIMBA LIPO HIVI
Next articleUWANJA WA MKAPA: SIMBA 1-5 YANGA