GAMONDI AWAPA MALEKEZO MAPYA NYOTA WAKE
MIGUEL Gamondi Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wote ni muhimu kuongeza juhudi kwenye mechi ambazo wanacheza ili kupata matokeo. Timu hiyo kwenye msimamo ni namba mbili na funga 2023 ilikuwa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma baada ya dakika 90 ubao ulisoma Tabora United 0-1 Yanga na bao likifungwa na Aziz KI. Aziz KI anafikisha…