Home Uncategorized AMEPEWA RUNGU SIMBA MWAMBA HUYU KWENYE USAJILI

AMEPEWA RUNGU SIMBA MWAMBA HUYU KWENYE USAJILI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa watakuwa bega kwa bega na benchi la ufundi ndani ya timu hiyo katika kila jambo ikiwa ni pamoja na masuala ya usajili ili kuboresha timu hiyo ambayo haijawa kwenye mwendo bora.

Previous articleYANGA WANA BALAA HAO, AZIZI KI HASHIKIKI
Next articleBAADA YA KUFUNGA MWAKA KWA SARE, SIMBA YATOA TAMKO