Home Uncategorized KAZI NZITO LEO HAPA LIVERPOOL PALE ARSENAL

KAZI NZITO LEO HAPA LIVERPOOL PALE ARSENAL

Mtoto hatumwi dukani ndio unavyoweza kusema kuelekea mtanange mkali kati ya vilabu viwili venye ubora mkubwa kwasasa klabu ya Liverpool ambao watakua nyumbani kuikaribisha klabu ya Arsenal.

Mchezo huu mkali wa kufungia mwaka utapigwa pale katika dimba la Anfield ambapo utaweza kutoa fursa pia kwa wateja wa Meridianbet kuchota maokoto, Kwani mchezo huu kati ya Liverpool na Arsenal umepewa ODDS KUBWA na za kibabe katika tovuti ya mabingwa hao wa michezo ya kubashiri.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Klabu ya Liverpool inaingia kwenye mchezo huu ikiwa na kumbukumbu za kulazimishwa sare na klabu ya Manchester United katika mchezo wao uliopita wa ligi kuu ya Uingereza wikiendi iliyomalizika, Ambapo mchezo ulipigwa katika dimba la Anfield ambalo litatumika tena leo dhidi ya Arsenal.

Mchezo kwa hakika hautakua na mnyonge kwani vilabu vyote viwili vinakwenda kwenye mchezo huu vikiwa imara kwelikweli, Kwani mpaka sasa vilabu hivi viwili vimepishana alama moja tu ambapo Arsenal wana alama 39 huku Liverpool wakiwa na 38.

Mchezo huu pia utakua na ushindani mwingine kwani Arsenal wakiwa kwenye ubora wao watataka kufuta uteja wao ambao umedumu kwa takribani miaka 11 sasa, Ambapo hawajafanikiwa kupata ushindi Anfield tangu mwaka 2012 huku Liverpool watataka kuendelea kulinda rekodi yao leo mtoto hatumwi dukani.

Tofauti na kipute hicho kitakachopigwa katika dimba la Anfield kutakua na michezo mingine mikali wikiendi hii ambayo itawawezesha wateja wa Meridianbet kupigwa mkwanja Westham United watakipiga dhidi ya Man United, Tottenham watakua nyumbani kuikaribisha Everton, Luton watakipiga na Newcastle United, Kule Italia Inter Milan watakipiga na Lecce, Juventus wakiwa ugenini kucheza dhidi ya Frosinone, Hispania Atletico Madrid wataikaribisha klabu ya Sevilla michezo yote itapatikana katika tovuti ya Meridianbet ikiwa imepewa ODDS KUBWA na bomba kabisa.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi.

Previous articleMWENDELEZO WA LIGI KUU BARA UMAKINI UNAHITAJIKA
Next articleSIMBA YATUMA UJUMBE HUU KMC