>

KASINO MITANDAONI NDIO HABARI YA MJINI KWASASA

Kama ulikua hujui sasa hivi watu wanajipigia tu mikwanja kupitia Kasino Mitandaoni ikiambatana na michezo kabambe kama Roullete, Piggy, Pinata Loca, Lakini kwasasa kuna mchezo unaobamba unajulikana kama Starlight Princess. Meridianbet wamekuja na Promosheni ambayo itajumuisha mchezo wa Starlight Princess ambayo imeanza tarehe 19 mwezi huku Oktoba na kumalizika mwezi huu tarehe 31 ambapo mshindi…

Read More

MTIBWA SUGAR MAMBO BADO MAGUMU

MTIBWA Sugar ikiwa Uwanja wa Manungu imeshuhudia Oktoba 19,2023 ubao ukisoma Mtibwa Sugar 0-2 Kagera Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao ni Sugar Dabi. Mambo ni magumu kwa timu hiyo kutokana na mwendo wake kuwa ni wa kusuasua msimu mpya wa 2023/24 kwenye mechi za mwanzo. Mabao ya Kagera Sugar yamefungwa kwa awamu…

Read More

MWAMBA ONANA KWENYE MTEGO NDANI YA SIMBA

WILLY Onana nyota wa Simba yupo kwenye mtego ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kwa kutakuwa kutumia nafasi zinazopatikana kwenye mchezo. Simba inatarajiwa kucheza mchezo wa African Football League leo Ijumaa dhidi ya Al Ahly, Uwanja wa Mkapa huku Onana akiwa ni miongoni mwa nyota waliopo kwenye mpango kazi wa kocha…

Read More

YANGA YAIPIGIA HESABU HIZI AZAM FC

MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga hesabu kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wao wa ligi dhidi ya Azam FC unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 23, Uwanja wa Azam Complex. Chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi timu hiyo ilitoka kukomba pointi tatu dhidi ya Geita Gold kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ukisoma Geita…

Read More

SIMBA: WAARABU WAMEKUJA WAKATI MBAYA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wapinzani wao Al Ahly, Waarabu wa Misri wamekuja wakati mbaya ikiwa ni maandalizi ya mwisho ya mchezo wa ufunguzi wa African Super League. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 20 2023 ukiwa na wageni wakubwa kutoka pande zote za dunia na miongoni mwao ni pamoja na rais wa Fifa Gianni…

Read More

MAMBO NI MAGUMU KWELIKWELI

PUMZI ndefu inavutwa na kushushwa taratibu mambo yanapokuwa tofauti na vile ambavyo yalipangwa kuwa. Ngumu kuwa na furaha katika nyakati ngumu ambazo hazidumu. Kwenye ulimwengu wa msako wa pointi tatu muhimu kuna timu ambazo mwanzo wa ligi mambo yamekuwa ni magumu kwelikweli kuambulia ushindi. Hapa tunakuletea baadhi ya timu zinazopambania kombe namna hii:- Coastal Union…

Read More

KILA LA KHERI TAIFA STARS KIMATAIFA

MCHEZO wa kimataifa wa leo kwa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ni muhimu kupambana kupata matokeo. Kete ngumu na itakuwa na ushindani mkubwa. Wachezaji ni muda wa kuonyesha thamani ya kile ambacho kipo kwenye miguu yenu. Muda ambao ulipatikana kwa maandalizi unatosha na sasa ni kazi kuonesha ukweli kwenye vitendo. Nafasi yenu ni…

Read More

MTAMBO WA MABAO YANGA WATEMBEZA MKWARA

MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Yanga, Maxi Nzengeli amepiga mkwara kwa kuweka wazi kuwa kazi itaonekana zaidi kwa vitendo uwanjani katika kusaka ushindi. Nyota huyo anayevaa jezi namba 7 kibindoni katupia mabao matatu katika mechi za ligi pekee na katengeneza pasi moja ya bao ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya KMC, Uwanja wa Azam…

Read More

JIONI KABISA MTU ALIPOTEZA AKIWA NYUMBANI

REKODI iliyoandikwa zama zile ikiwa inaitwa Singida Big Stars kwa Simba kukwama kokomba pointi tatu ilivunjwa Oktoba 8 baada ya ubao kusoma Singida Fountain Gate 1-2 Simba. Jioni kabisa mbabe alipatikana kutokana na bao lililofungwa ikiwa ni dakika 8 zilibaki kugota mwisho kwenye mchezo huo. Ikumbukwe kwamba ilipokuwa ikiitwa Singida Big Stars ubao ulisoma Singida…

Read More

UKUTA WA SIMBA UNATESEKA KINOMANOMA

WEKA kando suala la kuongoza kwenye Ligi Kuu Bara kwa Simba, rekodi zinaonyesha kuwa ukuta wao unateseka kwenye mechi za ugenini kutokana na kutunguliwa kila wanaposhuka uwanjani. Katika mechi tano ambazo ni dakika 450 Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ni mechi tatu ilicheza ugenini huku mbili ikicheza ikiwa nyumbani. Ukuta wa Simba chini…

Read More

JEMBE AWEKA REKODI HII FIFA

MHARITI Mtendaji wa Group Group, Saleh Ally, maarufu kama Salehjembe, ameandika rekodi nchini ya kuwa mwandishi wa kwanza kupiga kura mara nne mfululizo katika tuzo za The Best FIFA Football Award. Hali hiyo inaoonyesha uaminifu mkubwa kutoka Fifa yenye makao yake makuu nchini Uswiss. Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), limemchagua kwa mara nyingine tena…

Read More