KAPOMBE AMEZIDISHA KAZI KAZI HUKO SIMBA
BEKI mkongwe ndani ya kikosi cha Simba, Shomari Kapombe amezidi kunoga kutokana na kasi yake ya kutoa pasi za mwisho za mabao ndani ya ligi. Nyota huyo msimu wa 2022/23 alikuwa ni beki namba moja kwa waliotoa pasi nyingi za mwisho alipotoa nane kwenye mechi 25 alipokomba dakika 2,136. Tayari kaanza kuonyesha kazi kwenye mechi…