Hatima ya Ubingwa: Simba SC na Yanga SC Kwenye Dabi ya Kariakoo Leo!
Leo, Mei 03, 2026, dimba la Meja Janerali Isamuhyo jijini Dar es Salaam litashuhudia pambano la kihistoria kati ya Simba na Yanga katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara. Huu ni mchezo wa duru ya pili wa ligi ambapo timu zote mbili zitakuwa zikisaka ushindi muhimu katika mbio za ubingwa. Simba wanahitaji ushindi ili kupunguza pengo la…