YANGA YAJA NA HESABU NYINGINE
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi ameweka wazi kuwa mchezo wa mpira unahitaji mabao jambo ambalo wamelifanyia kazi. Kesho Agosti 20, Yanga itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya ASAS Djibouti katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex ambapo hata ule wa pili utachezwa pia Jumapili…