Home Uncategorized MAN UNITED VS CHELSEA KIPUTE CHA WABABE

MAN UNITED VS CHELSEA KIPUTE CHA WABABE

Jumatano hii inapigwa mechi ya kibabe sana katika ligi kuu ya Uingereza kati ya klabu ya Manchester United dhidi ya Chelsea ambao watakua ugenini katika dimba la Old Trafford, Mchezo ambao ukawepo kwenye tovuti ya Meridianbet.

Mchezo huu umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet ambapo unamuwezesha mteja kujishindia maokoto ya kutosha, Huku wakiwa wamepewa fursa ya machaguo ya kutosha ambapo Meridianbet ndio mabingwa katika hilo.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Chelsea wanaenda katika mchezo wa leo wakiwa wametoka kushinda mchezo wao uliopita wa ligi kuu ya Uingereza dhidi ya Brighton, Huku wenyeji klabu ya Manchester United wakiingia kwenye mchezo huu na kumbukumbu ya kupoteza dhidi ya klabu ya Newcastle United wikiendi iliyomalizika.

Chelsea watakwenda Old Trafford leo wakiwa na rekodi isiyoridhidha katika dimba hilo kwani wameshinda mchezo wa mwisho katika uwanja huo wa ligi kuu ya Uingereza mwaka 2013, Hivo ni takribani miaka kumi sasa usiku wa leo unaweza kua sehemu ya kufuta uteja huo wa muda mrefu.

Michezo mingine ya ligi kuu ya Uingereza pia itapigwa leo katika viwanja mbalimbali na imepewa ODDS KUBWA na za kibabe ambayo inaweza kumpa mteja wa Meridianbet kujipigia mkwanja wa kutosha na michezo hiyo ni kama ifuatayo Brighton wataikaribisha Brentford katika dimba lao la Amex, Sheffield United watakua nyumbani kuikaribisha Liverpool, Aston Villa watakua nyumbani pale Villa Park kumenyana na klabu ya Manchester City.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee

ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Previous articleCHAMA KALIAMSHA HUKO NDANI YA SIMBA
Next articleMUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA LA LEO DESEMBA 7, 2023 LIPO HAPA