Home Uncategorized Sloti Ya Wild 27 Kasino Ya Mtandaoni

Sloti Ya Wild 27 Kasino Ya Mtandaoni

CHEZA HAPA

Alama za Ushindi sloti ya Wild 27

 

Tunapozungumzia alama za mchezo huu wa sloti, thamani ya chini zaidi inatolewa na miti minne ya matunda. Ambayo ni:

  • Limau
  • Chungwa
  • Cheri
  • Zabibu

 

Ikiwa utaziunganisha alama hizi tatu kwenye mchanganyiko wa ushindi, utashinda mara mbili ya dau lako.

 

Alama za nyota kijani na zambarau ndizo alama zinazofuata kwa thamani ya malipo. Ikiwa utaziunganisha alama hizi tatu kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 16 ya dau lako.

 

Alama ya kengele za dhahabu zitakuletea malipo makubwa zaidi. Ikiwa utaziunganisha alama za aina hizi tatu kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 20 ya dau lako.

 

Malipo bora zaidi yanapatikana kupitia alama za Bar. Katika mchezo huu wa kasino ya mtandaoni alama hizi pia huonyeshwa na rangi ya dhahabu. Ikiwa utaziunganisha alama hizi tatu kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 40 ya dau lako.

 

Kama ilivyo kwenye sloti nyingine, alama za Lucky 7 nyekundu huleta thamani kubwa kwenye sloti hii ya wild 7. Ikiwa utaziunganisha alama hizi tatu kwenye mchanganyiko wa ushindi, utapata mara 60 ya dau lako.

Sambamba na hayo, sloti hii kutoka kasino ya mtandaoni inakupa nafsi ya kupata bonasi kibao kila hatua unayofikia, kikubwa ni kucheza Zaidi sloti hii huku ukiweka dau kubwa Zaidi.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

Previous articleMAYELE, DIARRA, WAWAFANYE WAZAWA KUTAFAKARI UPYA
Next articleHIVI NDIVYO SIMBA WALIVYOLOWA KWA MKAPA MBELE YA MASHABIKI WAO