FT: Yanga SC 4-1 CFFA FC CAF Champions League

YANGA SC imetinga hatua ya makundi kwa ushindi wa jumla ya mabao 8-1 baada ya ushindi wa leo wa mabao 4-1 dhidi ya CFFA katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex.

Mabao kwenye mchezo yamefungwa na Ibrahim Kazimoto dakika ya 27 kwa pasi ya Mudathir Yahya na Seleman Mwalimu amefunga mabao mawili dakika ya 48 na 52, bao la 4 limefungwa na Chuga dakika ya 83.

Bao la CFFA FC limefungwa na Fitahianstoa Albertini dakika ya 74 kwa pigo la faulo akiwa nje ya 18 iliyomshinda Aboutwalib Mshery.

Kikosi cha Yanga SC leo Oktoba 21,2026 kilianza namna hii:Aboutwalib Mshery, Ibrahim Kazimoto, Boka, Komara, Bakari Nondo,Ngoma, Mudathir Yahya, SureBoy, Toure, Seleman Mwalimu na Albert Kangwanda.

Kwenye eneo la wachezaji wa akiba ni Masalangwa, Job, Hussein, Mussa, Maxi Nzengeli, Abushiri, Zakouani, Aziz Ki na Mzize.

…

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.

Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar

Moyo Wangu Unavuja Damu: https://selar.com/7901h4koj4