Bayern Munich, Arsenal; Hiyo leo Pesa Ipo Hapa
Bayern Munich ya Ujerumani inatarajiwa kukutana na Arsenal ya England katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya utakaopigwa Jumatano, Oktoba 21, 2026, saa 22:00 usiku, kwenye Uwanja wa Allianz Arena jijini Munich. Huu ni mchezo wa hatua ya ligi unaozikutanisha timu mbili zenye historia kubwa barani Ulaya, huku kila upande ukihitaji matokeo mazuri ili kujiweka…