FT:15 de Agosto 1-6 Simba SC

MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika katika kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi wa kwanza umekamilika, Uwanja wa Uhuru Oktoba 21,2026 ubao umesoma 15 de Agosto 1-6 Simba SC.

Mabao ya Simba SC yamefungwa na Nathaniel Chilambo dakika ya 43, Ellie Mpanzu dakika ya 56, Ibrahim Doumbia dakika 64 na 87. Kalesto dakika ya 71 na Anicet Oura dakika ya 82.

Doumbia amesubiri dakika 4 kupita akifunga bao la kwanza akiwa na uzi wa Simba SC kwenye anga la kimataifa mara baada yakusajiliwa katika dirisha kubwa raia huyu wa Mali.

Kwa upande wa 15 de Agosto walipata bao lakufutia machozi dakika ya 90+1 kwa kupitia mtupiaji Alozie Uwandu baada ya mabeki wa Simba SC kufanya makosa katika eneo la ulinzi.

Mechi inayofuata inatarajiwa kuchezwa Jumapili, Oktoba 25,2026 katika kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi.

…

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.

Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar

Moyo Wangu Unavuja Damu: https://selar.com/7901h4koj4