
KOCHA WA SIMBA KUANZA NA KIGONGO HIKI HAPA
KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira ametua ndani ya ardhi ya Dar baada ya kuibukia Brazil ambapo alikuwa na masuala ya kifamilia. Kocha huyo ambaye amepewa mikoba ya Zoran Maki ameiongoza timu hiyo kwenye mechi mbili ilikuwa Simba 3-2 Mbeya City na Dodoma Jiji 0-1 Simba. Kigongo kinachofuata ni dhidi ya Singida Big Stars mchezo…