DTB YASEPA NA POINTI TATU MBELE YA KEN GOLD

RAMADHAN Nswazurimo, Kocha Mkuu wa Klabu ya DTB amesema kuwa wachezaji wake waliamini wameshinda kwenye mchezo wa leo dhidi ya Ken Gold jambo lililowafanya wapate tabu ndani ya dakika 90.   Mchezo wa leo wa Championship uliochezwa Uwanja wa Uhuru ulikuwa na ushindani mkubwa na timu zote zilikuwa zikishambuliana kwa zamu. Mwisho wa siku ushindi…

Read More

KAGERE ATUPIA MABAO 60 BONGO

MEDDIE Kagere ndani ya kikosi cha Simba kwa msimu wa 2021/22 ameshindikana kwa kuwa ni kinara wa mabao akiwa nayo mawili na amefunga yote akitokea benchi na kumfanya afikishe jumla ya mabao 60 ndani ya Ligi Kuu Bara tangu aanze kucheza Bongo. Kagere aliyeibuka ndani ya Simba msimu wa 2018/19, bao lake la kwanza kwa msimu wa 2021/22 alipachika mbele ya Dodoma Jiji akitumia pasi ya mshikaji wake Chris Mugalu na alifunga akitoka…

Read More

MADRID YAINGIA ANGA ZA CHELSEA

Real Madrid imetajwa kuwa ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya nyota wa Chelsea, Antonio Rudiger ambaye ni beki wa kati.   Ikiwa dili lake litajibu basi mkwanja ambao atalipwa kwa wiki itakuwa ni pauni 200,000 na ni itakuwa kwa wiki jambo ambalo linaongeza urahisi katika kukamilisha dili hilo. Madrid ipo tayari kuwauza wachezaji wake…

Read More

KUMBE! SIMBA WANAITAKA TIMU NZIMA YA YANGA

MAKAMU Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Klabu ya YANGA, Eng Hersi Said amesema amepata tetesi za viongozi wa klabu ya Simba hivi karibuni kuonekana mara kadhaa nyumbani kwa wazazi wa beki kinda wa Yanga Kibwana Shomari.   “Ninazo taarifa hizo kupitia mchezaji mwenyewe na watu wangu wa karibu kuhusu ziara zenye nia ya kumshawishi…

Read More

YANGA YAANZA KWA MAJANGA TENA

KLABU ya Yanga imepigwa faini ya shilingi laki tano kwa kosa la kuwakilishwa na maofisa wanne badala ya watano katika kikao cha maandalizi ya mchezo huo uliofanyika Uwanja wa Mkapa. Mkutano huo kwa mujibu wa taarifa imeeleza kuwa ulifanyika Novemba 2, Uwanja wa Mkapa. Adhabu hiyo imetolewa kwa kwa uzingativu wa kanuni ya 17,(2) na…

Read More

BEKI SIMBA YAMKUTA HUKO

BEKI wa Simba, Henoc Baka amefungiwa mechi tatu kwa kosa la kumpiga kichwa mchezaji wa Coastal Union kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Kutokana na kitendo hicho beki huyo alionyeshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja na kumfanya akose mchezo wa Simba uliofuata dhidi ya Namungo FC. Mbali na adhabu ya…

Read More

PRESHA YA SIMBA IPO KWENYE TIMU HII HAPA

KAIMU Kocha Mkuu wa Simba, Hitimana Thierry, amefunguka kuwa kasi waliyoanza nayo wapinzani wao, Yanga na mabao wanayofunga, imekuwa ikiwaongezea presha kubwa ya kuhakikisha wanapata matokeo katika mechi zao.Simba imepoteza pointi nne katika mechi tano ilizocheza, ikiwa imeshinda tatu na sare mbili.   Ilianza kwa suluhu dhidi ya Biashara United kabla ya kuifunga Dodoma Jiji bao 1-0, kisha ikaifunga Polisi Tanzania bao 1-0, halafu ikasuluhu na Coastal Union kabla ya kuichapa Namungo…

Read More

ISHU YA CHAMA KURUDI BONGO,YANGA,SIMBA ZATAJWA

KIUNGO bora wa zamani wa Simba, Clatous Chama anatajwa kurudi tena Bongo huku timu mbili za Kariakoo, Simba na Yanga zikitajwa kuwania saini yake. Chama msimu wa 2020/21 alikuwa kwenye kikosi bora cha msimu na pia alitwaa tuzo ya kiungo bora ikumbukwe pia kwa msimu wa 2019/20 alitwaa tuzo ya kiungo bora pamoja na mchezaji…

Read More

BAO LA MK 14 LAMFANYA KOCHA AZUNGUMZE KIZUNGU

BAO la mshambuliaji wa Simba Meddie Kagere lililowapoteza Namungo FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara lilimfanya Kocha Mkuu wa Namungo FC, Hemed Morocco kuzungumza kizungu kuonesha msisitizo kwamba waliumia kupoteza mchezo huo. Mara baada ya mchezo kukamilika na ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-0 Namungo, wachezaji wote wa Namungo juzi walianguka chini…

Read More

YANGA WAMPA TANO NABI

NAHODHA wa Yanga, Bakari Mwamnyeto, amefunguka kuwa kwa sasa nyota wa kikosi hicho wanafurahia zaidi mfumo wa soka la pasi nyingi, ambao unafundishwa na kocha mkuu Nasrredine Nabi, kulinganisha na utamaduni wao wa awali wa kutumia mipira mirefu.   Tangu msimu huu umeanza kocha Nabi anaonekana kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kuibadilisha Yanga ambayo sasa inacheza mpira wa pasi nyingi, tofauti na hapo awali ambapo walikuwa wakitumia mipira mirefu.  …

Read More