SABABU ZA BM KUSAINI YANGA NA KUIKACHA SIMBA

KIUNGO wa zamani wa Simba,Bernard Morrison ameweka wazi kuwa ambacho anakipenda na atakikumbuka kutoka kwa viongozi na mashabiki wa Simba ni upendo hivyo anaomba uendelee daima. Kwa sasa kiungo huyo amerejea ndani ya Yanga aliyokuwa akiichezea zamani kabla ya kuwafunga Simba kwenye mchezo wa ligi kisha akasajiliwa ndani ya Simba. Sababu kubwa ambayo imemfanya aweze…

Read More

SIRI YA MABAO 17 YA MPOLE HADHARANI

FRED Felix Minziro, Kocha Mkuu wa Geita Gold, amebainisha wazi sababu kubwa ya mshambuliaji George Mpole kufunga mabao 17 ni kutimiza majukumu aliyopewa. Mpole ni mzawa aliyeibuka kinara wa mabao Ligi Kuu Bara 2021/22 akimpoteza Fiston Mayele wa Yanga raia wa DR Congo mwenye mabao 16. Akizungumza na Spoti Xtra, Minziro alisema: “Tulikuwa tunahitaji pointi…

Read More

LUIS, SIMBA SUALA LA MUDA

KLABU ya Simba, ipo kwenye wakati mzuri wa kumrudisha kikosini hapo kiungo mshambuliaji raia wa Msumbiji, Luís Jose Miquissone kutoka Al Ahly ya Misri. Hiyo ni baada ya Luis kuwa na wakati mgumu ndani ya Al Ahly tangu alipojiunga na timu hiyo Agosti 26, 2021 akisaini mkataba wa miaka minne akitokea Simba. Baada ya Al…

Read More

YANGA YAMBAKISHA MSUVA DAR

INAELEZWA kwamba, Klabu ya Yanga, imembakisha jijini Dar winga Simon Msuva baada ya kumpa ofa ya kujiunga na timu hiyo kwa mkataba wa mwaka mmoja. Msuva ambaye aliitumikia Yanga kuanzia mwaka 2012 hadi 2017 alipoondoka kwenda Morocco kuichezea Difaâ El Jadida, kwa sasa yupo hapa nchini kutokana na kuwa na mgogoro na timu yake ya…

Read More

BEKI MCONGO APEWA MIL 144 YANGA

UNAAMBIWA Yanga SC ilimshusha kimyakimya beki raia wa DR Congo, Joyce Lomalisa Mutambala na kumpa mkataba wa miaka miwili, huku kwa mwezi akitarajiwa kulipwa shilingi milioni sita. Kwa muda wa miaka miwili akiwa anaitumikia Yanga, jumla atakuwa amepokea mshahara wa shilingi milioni 144 hadi kumalizika kwa mkataba wake. Mutambala anajiunga na Yanga akitokea Bravos do…

Read More

VIDEO:NAMNA DIARRA ALIVYOWEZA KULIA

KIPA namba moja wa Yanga,Diarra Djigui aliweza kuwaga machozi Uwanja wa Sheikh Amri Abeid baada ya kumaliza kazi kuokoa penalti kwenye fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Coastal Union ambapo Yanga ilishinda kwa penalti 4-1 baada ya dk 120 uao kusoma Yanga 3-3 Coastal Union

Read More

KOCHA MPYA SIMBA ANAAMINI WATASHINDA VITU VINGI

KOCHA mpya wa Simba,Zoran Manojlovic ameweka wazi kuwa anaamini kwamba atarejesha heshima ndani ya kikosi hicho atakapoanza kazi. Ilikuwa Mei 28 ambao Simba ilimtangaza Zoran kuwa kocha wa Simba akipokea mikoba ya Pablo Franco ambaye alifutwa kazi. Ilikuwa ni Mei 31 mwendo wa Pablo uligota ukingoni msimu wa 2021/22 baada ya kupoteza kwa kufungwa bao…

Read More

FAINALI FA,MAPUMZIKO:YANGA 0-1 COASTAL UNION

MCHEZO wa hatua ya nusu fainali, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa sasa ni mapumziko huku timu zote zikipambana kuweza kusepa na ushindi. Ubao unasoma Yanga 0-1 Coastal Union chini ya kocha mzawa Juma Mgunda. Bao la kuongoza kwa Coastal Union limepachikwa kimiani na Abdul Suleiman,’Sopu’ ambaye anafikisha mabao 7 kwenye Kombe la Shirikisho msimu…

Read More

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA COASTAL UNION

MBELE ya Coastal Union kwenye mchezo wa fainali leo Julai 2,2022 kiungo Zawad Mauya ataanzia benchi pamoja na Mshery,Yassin,Bacca,Moloko,Kaseke,Nkane,Makambo na Ambundo. Kikosi cha kwanza ni Diarra Djigui Djuma Shaban Farid Mussa Dickson Job Bakari Mwamnyeto Yannick Bangala Kahlid Aucho Sure Boy Feisal Salum, Chico Ushindi Fiston Mayele

Read More

SALAH AJIFUNGA LIVERPOOL

MSHAMBULIAJI wa Klabu ya Liverpool na Timu ya Taifa ya Misri Mohamed Salah ameongeza mkataba mpya wa miaka mitatu wa kuendelea kubakia katika klabu hiyo yenye maskani yake mitaa ya mersesyde. Salah amesaini mkataba huo unaotarajiwa kumalizika majira ya kiangazi mwaka 2025 huku akipokea kitita cha Paundi 350,000 ambayo ni sawa na zaidi ya Milioni…

Read More