
SIMBA YAPEWA ONYO NA YANGA KIMATAIFA
KOCHA wa Yanga Princes Mohamed Hussein, ‘Mmachinga’ amewapa onyo Simba kuelekea mchezo wao wa leo Oktoba 24 dhidi ya Jwaneng Galax kwa kuwataka kucheza kwa kujilinda na kusaka ushindi mapema ili kuongeza hali ya kujiamini. Akizungumza na Saleh Jembe, Mmachinga alisema kuwa ushindi wa ugenini ni ishara mbaya kwamba hata wao wanaweza kufungwa wakiwa nyumbani…