RASMI:KOCHA MPYA SIMBA NI MSERBIA

RASMI leo Juni 28,2022 Klabu ya Simba imemtangaza,Zoran Manojlovic kuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo akichukua mikoba ya Pablo Franco ambaye alichimbishwa Mei 31,2022. Kocha huyo raia wa Serbia aliwahi kufundisha ndani ya kikosi cha Al Hilal ya Sudan hivyo ana uzoefu na soka la Afrika. Ana umri wa miaka 59 hivyo anakuja Tanzania kuendeleza…

Read More

KOCHA HUYU ATAJWA KUINGIA ANGA ZA SIMBA

AMES Kwasi raia wa Ghana na nyota wa zamani wa Asante Kotoko anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Simba kurithi mikoba ya Pablo Franco. Kwasi yeye zama za uchezaji wake alikuwa anacheza nafasi ya ulinzi ambapo alikuwa ni beki wa kushoto. Taarifa zinaeleza kwamba Simba wapo kwenye mazungumzo na kocha huyo raia wa Ghana…

Read More

HIZI HAPA TIMU ZITAKAZOSHIRIKI KIMATAIFA BONGO

MTENDAJI Mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania, Almas Kasongo amesema kuwa ni timu nne ambazo zitaiwakilisha Tanzania katika anga la kimataifa.  Ni katika michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho barani Afrika ambapo ni nafasi nne zipo kwa timu za Tanzania. Kasongo amesema Yanga na Simba tayari wameshapatikana kuwakilisha michuano ya Ligi ya…

Read More

KIPA SIMBA AONGEZA MIAKA MIWILI

KIPA namba moja wa kikosi cha Simba ambacho kwa sasa kipo chini ya Kaimu Kocha Mkuu, Seleman Matola Aishi Manula ameongezewa mkataba wake wa kuendelea kuitumikia timu hiyo. Nyota huyo mkataba wake ulikuwa unakaribia kufikia ukingoni na kuna timu ambazo zilikuwa zimeanza mazungumzo naye kwa ajili ya kuinsa saini yake. Manula ambaye ni chaguo la kwanza…

Read More

KICHUYA AWEKA REKODI YAKE BONGO

SHIZA Ramadhan Kichuya staa wa Namungo jana amefunga mabao matatu kwenye mchezo wa ligi na kufanya aweze kufunga hat trick kwenye mchezo huo ikiwa ni ya pili ndani ya ligi. Kichuya alifunga mabao hayo ilikuwa dk ya 23,50 kwa mkwaju wa penalti na lile la tatu ilikuwa dk ya 66 kwenye ushindi wa mabao 4-2…

Read More

AZAM FC WATASAJILI NAMNA HII

KATIKA kuhakikisha wanakuwa na kikosi imara kuelekea msimu ujao wa 2022/23, uongozi wa Azam FC umejipanga kufanya maboresho makubwa kwenye kikosi chao ili wajiweke kwenye nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa baada ya kuukosa msimu huu.  Azam FC imekuwa na mwenendo wa kupanda na kushuka kwenye Ligi Kuu Bara huku pia kikosi hicho kikitupwa nje kwenye…

Read More

KOCHA WA MANULA APATA DILI AFRIKA KUSINI

SIMBA ipo kwenye mchakato wa kusaka kocha mpya wa makipa baada ya Tyron Damons kupata dili jipya nchini Afrika Kusini. Taarifa rasmi kutoka Simba imeeleza kuwa kwa hatua ambayo wamefikia wanamshukuru kocha huyo hivyo watasaka mbadala wake kwa ajili ya kuwa kwenye kikosi hicho.  “Klabu ya Simba inamtakia kila la heri kocha wa magoli kipa…

Read More

KUMBE YANGA WALIPANIA KITAMBO KWELI

YANGA jana Jumapili waliweza kulisimamisha Jiji la Dar wakiwa wanalitembeza kombe lao la Ligi Kuu Bara walilolitwaa msimu huu wa 2021/22.  Ubingwa huo ni wa 28 kwa Yanga ambapo jana Jumamosi walikabidhiwa kombe lao baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City uliochezwa Uwanja wa Sokoine, Mbeya.  Msemaji wa Yanga, Haji Manara,…

Read More

KIUNGO WA KAZI SIMBA APEWA MKATABA

KIUNGO wa kazi ngumu ndani ya kikosi cha Simba SC, Mzamiru Yassin, amejifunga miaka miwili kuendelea kuvaa uzi mwekundu. Mzamiru ni chaguo la kwanza la Kaimu Kocha Mkuu wa Simba, Seleman Matola ambaye amempa jukumu la kuichezesha timu na kusambaza mipira mirefu kama alivyofanya kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City. Mzamiru ambaye alijiunga…

Read More

NYOTA KAIZER CHIEFS KAKOMBA MKWANJA MREFU JANGWANI

IMEFAHAMIKA kwamba, mshambuliaji mpya wa Yanga, Mzambia, Lazarous Kambole, ndani ya kikosi hicho alichosaini mkataba wa miaka miwili, atakuwa analipwa zaidi ya shilingi milioni 278. Kambole amejiunga na Yanga akitokea Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini akiwa ni mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake.  Mchezaji huyo ni wa kwanza kutambulishwa ndani ya Yanga kuelekea msimu…

Read More